Wadau what’s the hook for this women who are in Instagram and TikTok coz ukiingia DMs yao you become another orbiter instantly
Jaribu Snapchat
Kuna maumbwa zimeharibu bei kabisa
Dawa yao ni blue check ama mapicha za lifestyle nzuri vile hawa manaijo hupost. Pia ukiwa Cute Boys Association huwa inasaidia sana
Don’t try if you are an average Joe. Average Joes like us have better success rates on FB. Nimeokota wengi sana facebook kwa comments za status za watu hadi najishangaa
Wengi hudai clout na lifestyle. Blue checkmark ama unatravel a lot they’ll reply
Hapo wakuu mmesema ukweli
P. E. S. A
Hook for all women= money. Everything else ni kuhurumiwa tu umwage.