Niaje wazito. Nilipeleka Pradox inspection juzi coz ni Commercial, ikapita lakini sikupewa Sticker. Just got a message from NTSA to gp print my inspection report. Which i did. The report ascertain the above and the expiry.
Kiuliso…what the hell do I tell @pamba and his goons wakinisimaMicha barabarani. Who here might be privy to what fuckery this is.?
Kuna type mpya hawajakuambia urudie lini ? Any way tembea na copy ya report iscan iwe ndogo then bandika kwa screen
Walisema watapiga simu. But knowing the bureaucracy, I won’t hold my breath
Vile umeambiwa