Nimeshindwa kulala. Been browsing and happened on this tragic yet funny occurence in Ghana. Poleni sijui kuattach video.
https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://m.youtube.com/watch%3Fv%3Dh12exKOqjmA&ved=2ahUKEwj3-ZyutYneAhXE3iwKHUiTA24QjjgwAHoECAUQAQ&usg=AOvVaw1Z-rYD40e8XO_KtGIDo9My
Bingwa scrotums unabore
usingisi onge. and i have to be at KU by 6.30 am. Nkt.
Mimi niko hapa nikistream the last ship nikiprepare roast potatoes.
Leo hauna import
Poleni
Poleni Sana.
2.23 am. you sure must march to a very different drummer.
Funny you wrote about this thing. Imenirudia since niende short holiday from drinking.
You roasting potatoes at 2Am? Dude you alright?
A man must eat no matter the hour.
Watu waliishi kwa wazazi hadi wakafika 30 hawawezi elewa somethings about Bachelorhood
Mungu ni mwema. Nimeweza kuamka 5.30 bila alarm. tushatoka KU tukielekea mucatha kuzika musitoo. Cherish everyday and every moment talkers.
Njaa si mchezo. Hii ndio lifestyle ya bachelor ukiwork online kwanza na freelancers wako different timezones. Pesa lazima itafutwe. Saa zingine import lazima usahau na ukae celibate. Hakuna kitu mpre distracting kama kushinda na Dame kwa nyumba amabae hajajipanga kimaisha. Anadai tu kucuddle na kupewa dickens ni kama nachuna pesa kama majani chai. Siku za kucompete nani anamanga madame wengi ziliisha after campus.
Word! Ndio maana sometimes tuko Ktalk night runners edishen replying to daytime threads late.