ebu niulize elders b4 shule zifuguliwe… Kawasaki dio nini?
Kifi kifi
Nduthi
elders kujeni mujibu huyu.
ata sponsor anaeza nijibu
kazi ya sponsor ni kupeana guidance na directions hujui?
Kawasaki=kifikifi=nduthi=arimis. If you know you know!
Wewe ni SV na hujajua,visit ktalk Lexicon for more information
Kawasaki ni specialty ya @Makonika. Huyu hawezi kaa siku mbili bila kugurumisha.
Kawasaki ZX 14