Injured Lanye

Bila thermal images, you know where to shove this post bro!

The things that they go through… so sad

Cheza na kifo, hao maliar wa three ways ni moto… The numerous stories of wanaume kuamka kwa stairs za lodgings uchi na kuporwa uanzia hapo three ways

Murang’a hakunanga lanyes wewe…

Kuna place niliona guest house inaitwa CARE, hapo ile stretch ya kutoka Gilanis direct. I lalad hapo siku moja kama niko broke sana but had a job to do in Naks. Hapo ndipo capital I think. Na watu hulala hiyo guest hse wote ni mafisi tu, the walks along the stairs wakipandisha na kushukisha mapoko haziishangi, hadi asubuhi.

Enyewe ulikuwa umesota bro… Huko ata saa hii siezi lala… And I am not rich…

1 Like

That’s true… Ukitaka Lanye Murang’a labda wale wamama walevi…

Nilikuwa nimebeat mbaya…but I had to close that urgent biz, and you cant tell client ati hauna pesa ya kulala hoteli so you arent going for the meeting. Blue balls zilinipata nikiwa huko…wacha tu!!