ForeverLiving wazee wakuaminishana utajiri
Reference ya utajiri sijui ni nani njau alinunuaga range kwa hela ya forever living… Funny very funny
Hukubabaishwa na locations za semina zao?Serena hotel nk
sijawahi fanya hizo ujinga siku moja tu ndo nliingia kingi nikaenda nyumbani kwa mtu kumbe anatuita kutuonesha hizo forever
Mimi kuna mwanadada alinishawishi sana nikaishia kumla yeye akanihongà na juice.
ha ha ha ha ha ha nnmecheka tu
Bora nilime mbaazi soko likigoma nazipika.