Finally my Note 4 has recieved Oreo update…haven’t seen anything new on this update
Sasa unatakaje?
:D:D:D
nafikiri the Previous emoji ya kicheko ilikua inakaa better kuliko what ever this is.
cc @admin
True. Hii inakaa ufala tu
Heri warudishe hio.ata kama the will retain this yellow colour
Hiyo nayo ni nini?
Galaxy Note 4??
Samsung still supports Note 4? Wow that’s quite an old phone. Wamejaribu.
Looks like a foolish grin
hapana infinix note 4
Hahahaahahahaha,
Ningeshangaa. I guess sikusoma title poa.
Hehe hujaona introvert akitaka kucheka anaandika green laughing emoji badala ya kuweka hii