Wadau, niliproject tv yangu na lappy via 3.5 m hdmi cable. After that, color za picha zilianza kuonyesha violet or indigo hivi. Ilibidi nirudishe tv kwa box. Mwenye amewai handle hii issue saidia tafadhali. Google haisaidii vizuri.
Color kwa screen ya Lapi or Tv
Kwa TV after disconnect HDMI.
There is usually a color reset option in image settings…mybe it will help.
Jaribu kufanya factory reset.
Kuna 3.5mm jack to HDMI adapter? Share a link or thermal please.
[MEDIA=amazon]id=B009NKV5ZM;tld=uk[/MEDIA]