Naomba kuuliza kwani inakuwaje huku ugenini unakuja unakuta jina lako ulilokuwa unalitumia jf lina mtu mwingine tena na yeye anasema ametokea jf??ina maana huko kulikuwa na majina yanayofanana?na mbona sikuwa nimelijua hilo kama tuko zaidi ya mmoja??nijuavyo mimi isingewezekana!!naanza kupata wasiwasi kwani kila nikijaribu kujisajiri ilikuwa inakataa,naambiwa tayari jina lina mtu!!nikasema ok kwa kuwa huku ni ugenini powa!nikabadirisha jina sasa naingia ndani !!heeee nakuta jina langu lina mtu tena amehama nalo toka jf naye ni member huko hapo ndio wakuu nahitaji ufafanuzi!!!Sikutaka kubadirisha Id yangu!!ila powa tu,
Ulikuwa unatumia jina gani
hiyo case niliijua lazima itatokea humu kabla hata sijaingia, kuweni makini vijana.
Ngoja nijisajili tena kama kiranga wenye Dini wapate kihoro
[COLOR=rgb(40, 50, 78)]Duuuuu.Hi sasa balaa.
yeah, kuna watu wanaopenda vya urahisi watatafuta id nyengine. lakini wajue tuko kwa muda tu huku
Haipendezi hata kidogo…
lala wewe.
Ulikuwa unaitwa nani?
Sio Joseverest huyo? Maana ndo huwa anaibiwa mpaka AVATAR lakini usishangae sana huenda unaitwa KIBAMIA lakini huku KENYA TALK alikuwepo KIBAMIA mwingine siku nyingi.
Eid Mubarak mleta mada
Langu pia limechukuliwa sijui na nani. Mkuu hujambo?
pole sana, mm sijambo kabisa…habari ya tangu JF!
hao wanachokua ID za watu watakua walikua na wivu na nyie huko JF
Ha haaa kumbe. Namsuiri nimuone
utamuonea wapi ss?
Nitaenda BASATA
Mi nilijua tu lazima hili jambo litokeee. Nilitaka nijisajili kama nyani ngabu ila nikajua sitoweza kugonga kikristo safi kama cha usa baby, nikataka nijisajili kama mshana jr. Nikajiuliza kama nikiulizwa mambo ya ulozi nitajibu nini? Nikataka nijisajili kwa id yangu ya kule ya m**** m**** nikaona haina maana kwa kiwa siyo maarufu kabisa, nikataka nijisajili kwa verified id yangu ya kule nikaona haina maana kwa kuwa haina maana pia…
Nikakaaa nikawaza, nikaona kwa kuwa nimefurahi kujumuika na ndugu zangu tena nikaamua kuonyesha furaha yangu kwa kujiita woyooo woyooo woyooo:):)
Kama ni active member tutagongana. Labda awe ni mkenya mwenye hiyo id muda mrefu, kama ni mkimbizi kama mimi atakuwa amenifanyia makusudi
avatar yako uliyotumia mara ya mwishi JF iko wapi? ile ndio itakutambulisha zaidi Demi
Nimeipoteza aisee naitafuta siioni