In the newspapers

Kama Moses Kūrīa alijipatia stadium ya Karatū when he was MP for Gatūndū Seuth, na saa hii akiwa CS?
Anagula Gugula.

Umesahau the current KRA chairman ako pia kwa hio scandal.

9yrs to go.

Asante.

Acha niite anus lickers @sani @Kennedy Maina @Karoga @Kalenjin101 @Titty Twister @Berlin Oxford wasijidai hawajaona hii vile Kuria atakula vinono. Kila investor na za macho

Huwa mnataka stadium za nini? Izo husaidia indians wenye huuza cement na steel, hazina manufaa kwa youths.

Kitambo stadium yetu ilikuwa open saa zote, asubuhi na jioni locals walikuwa wanaingia kufanya zoezi bila kuulizwa na mtu.

hustlers wa body fitness walikuwa wanaleta customers wao hapo kuwafanyisha mazoezi, bila kulipishwa na serikali.

pastors walikuwa wanaweka crusade zao hapo kwa bei ya chini.

After serikali kujenga structure ya millions hapo, gates huwa zimefungwa 24/7, locals hawana access, ile wakati kuna national event ndio tunaeza ingia huko

Mnaona wivu? Hataki kuona mavijanaa wakikimbia riadha kwa good ground, anataka wakimbie matopeni

good ground iko, saa zote, ile kitu nyinyi huita stadium ni io structure ya chuma iko na viti na changing rooms, na io ndio inapea wahindi wa steel mills pesa.
io structure ya chuma na cement haina manufaa kwa vijana

Ground ni gani? Unataka outside teams kutoka inchi za inje zikuje kuchezea matope?

[MEDIA=twitter]1643827566002810881[/MEDIA]

wewe unajali vile foreigners watakuona ama unajali grounds za youths na locals kufanyia practice?

mnaharibu pesa kwa vitu hazina faida. Hapa mombasa majengo kuna grounds poa sana ziko na carpet na hakuna viti, kongowea pia kuwa project ilifanywa hapo ya pesa kidogo sana.

Nyinyi mnafocus na gate kubwa, dias kubwa, na viti 10,000 na roof, bila kujua izo projects ni Nerandra Raval anapush zifanywe, apate billions

Tunataka Stadium kama hizi, pale County Championships can be played, pale kunaweza kuwa na circuit za michezo kila county inufaike. We’re holding jambass feet to the fire na hekaya za stadiums

ukiingia ndani utapata kiwanja ni ile ile, lakini sasa huna access bila hela. kitambo kabla waweke io ukuta ya 1 billion, mtu yyote ange access io kiwanja afanye training.

ile kitu important ni io space unaona nyasi, na inafaa kuwa wazi saa zote watoto na wamama wetu waingie wafanye zoezi mchana.

izo viti na ukuta ya 1 billion haina faida

You think amenities will maintain themselves? Hata hii ya Sakaja watu walilipa kuingia

sawa, biashara ya steel inanoga, good for our economy.

Ndio, a country is built on the backbone of steel

Basi kuweni open, wacheni kujificha nyuma ya sports. Semeni mnajenga stadiums kusupport steel industry, because it is the biggest beneficiary of those stadiums, not the sports industry.

What would have been the benefit of building such stadia?

Nyayo and Kasarani for example are hard to fill to capacity whenever there are events.

Social halls or recreational facilities would have been a better idea and better value for the money that would have been spent.