In Kenya Punishments Don't Fit The Crime

Unaiba million 300 unapigwa option ya fine ya 4 Million. Unaiba kuku au kujinja paka unafungwa haraka haraka bila option ya fine ya shilingi mia SITA.

Yes, steal big don’t steal small

Alar !! Kwani unakuaga mbukusu ama maragoli? Najaribu kuangalia hio JI na CHI kwa keyboard na hakuna typo hapo[ATTACH=full]387649[/ATTACH][ATTACH=full]387649[/ATTACH][ATTACH=full]387649[/ATTACH][ATTACH=full]387649[/ATTACH]

Jinja Uganda

Sasa investigator na prosecutor asipoleta ushahidi wa kutosha unataka Judge afanye nini, afunge mtu unlawfully?

Fine hutolewa after conviction sio aquitted

I understand lakini hata hio iko na limits as per the constitution. Mtu kama Wario the charges couldn’t stik juu hawakuleta kesi ya maana.

The charges stick as long as the video and sworn statements are admissible in court, sorry I assumed Wario was that quack doctor raping patients

Nitawaambia mara ngapi banae…laws are made to govern peasants.

Laws ni za peasants. Si ata msito Zuma aliachiliwa?

When you want to steal, steal big. Also niliskia ati if you unintentionally hit someone with a car, you make sure they die.

Bottom- up…