unafanya nini imsomnia sacco…
niko juu ya sql na php mbaya:(
Nko na Njeri ma lovy dovy hivi
Niko mixxing…warembo nairobi kuiva hapa kwa floor
1 Like
Kumekucha…
Ati ulikuwa unauliza aje, sema sasa nimwambie.