Importing Ugandan motorbike

Elders, how much will it cost to change Ugandan registered number plate to kenyan after importing this nduthi…ama nijifiche tu juu hii si gari?
[ATTACH=full]255550[/ATTACH][ATTACH=full]255551[/ATTACH][ATTACH=full]255552[/ATTACH][ATTACH=full]255553[/ATTACH]

Singo matha anasumbua hii kijana, nyumba haikaliki akaona atafte nduthi :smiley:

Following…

Si unisukumieko Harley Davidson iko na bass

:D:D
Hii maneno ya kuendesha na plates za UG ndio ilifanya nikaweka dummy ignition.
Karau akichukua dummy key nawasha back-up na kuchomoka.

Nafuatilia huu mjadala kwa makini.

Wewe leta jibu ya maana…nataka niwe namdrive on a sunday evening towards the sunset kama amenishika kiuno.

Nataka kununua…nmeziona hapa

Kwani ni chameleon inachange colour from blue to black.

kumbe wewe ni mwizi ?

Kama ni Honda nunua Honda Ace imechapa ya 40k. Chukua number plate yake na uuze mabati zimebaki

Unacheza na hawa watu.
That doesn’t work nowadays.
Shit made me return a very prime Honda Africa Twin.

Byro anika tatal costs ya hio cruiser na cc nione kama naweza fika bei pia. Renowned nduthi expert @Makonika , how much does a 250cc cruiser go for preferably honda nione kama naweza ama ni kunje mkia na ni settle for bajaj. i would very much like a cruiser though, huwa napenda vile zinakaa

you cant change unless utafte yenye ilianguka ikakua written off buy it then fix the plate kwa hii but it has to be same model of this bike
its illigela but i know at least one person who bought subaru ya UG 2009 akaeka plate ya subaru ya 2009 ilikua insurance savge.
but dont just get involved in accidents.
anyway you can ride this bike and pay annual taxes for this plate the safest