Impersonation

What is happening. Naskia kuna jamaa ako ara za eneo hili hasa nyakati za usiku usiku, kimonda, claiming to be the bonafide True North Grandson of the Patriarch. Watu wangu, There is only one Patriarch and only one Grandson. Tusizoeane. Huyo Jamaa aambiwe nimeland, ajitoe roho Safi, back to the foothills of the gem God mountain. Kipishhhh

Unajaribu kusema nini?

Mimi hata sielewi, lakini am generally not slow. Wewe ?

Are you by any chance from wakanda?

Has this reply been welded on your fingers bro. Tulia Na usisumbue, wakanda ni Gikuyu. Shenji

@mabenda4 unasema nini?

are you from wakanda?

Ntasema Mara ngapi Mimi sio huyo jamaa hata kidogo hivi. Naskia anajiita mjukuu wa (what the heo is Patriarch in Swahili…ama ni malenga wa mlima)

@Kasighau unasema nini?

Meffi. Haueleweki kasee.

unasema??

Vipi Mosade!

Come srowly… unasema nini @mabenda4?

Ni nini umekula ikaleta hallucinations?

@Da Vinci unasema nini?

kasinyangau hii joto ya kwenu itaniua. Nimekunywa 8 litres na bado naskia ka nakufa

apantambua @Kasighau

@mabendover unajikana tena?