Hio spray ni ya nini?
1 Like
ni ya kufunika harufu ya nyama:D:D
5 Likes
Hehehe, kaa ni ya kunguni naomba hio kazi
1 Like
Siko parade square wala karibu na tv
1 Like
[ATTACH=full]72396[/ATTACH]
1 Like
Ndio naingia kijiji leo. Sikuona kilichofanyika ama kilichotendeka
Kwa ile dias ya CIC kwa kiwanja ilipigwa doom kaa 50litre
What was that?
1 Like