Imeanguka elders

As we celebrate the birth of the son of God
Kumeza na kukata maji mpaka nuuu year . Live from Kimilili :smiley: kama uko around kujia sherehe .

[ATTACH=full]486652[/ATTACH][ATTACH=full]486653[/ATTACH]

Enjoy Kizee, familia iko on tow ama ?

bibi ako jikoni na wamama watoi wanazunguka wakishika grasshoppers .

na its IN TOW

Merry Christmas Uwesmakende. Nitumie chrome quarter

WEKA till number

Merry christmas to you and family.

Till 713493 ongeza ya lanye

total ngapi ?

1k

Pin location Khocha. Niko hapa Kamukuywa

nimeweka 2k

Merry Xmas @LIEN

Bado. Tuma message nipewe pombe

Nitumie enjaka

:D:D:D:D

Suspend the carcass for efficient skinningā€¦hiii ndio shida ya Ngā€™ombe mingi zikikutanaā€¦hakuna inaweza saidia ingine kwa mawazo

nimekuwekea kwa inbox

dinywa mkia polepole

Nimekuwekea 100 ya room.

Tusiwai kutana nitakudeenya hadi ikuwe dry