Imagine unahama gichagi 2 Nairobi in search of greener pastures alafu una end up living in Paipu

Umebeba bag mgongoni unaambia wazazi ati wacha nikatafute/hustle Nairobi. Mama mzazi anajaribu to plead with u ati mtoto wangu hapa gichagi kuna fresh air, ni stress free, hakuna crime etc mbona sasa unaenda mji ya wakora Nairobi? Bakia tuu huku mtoto wangu.

Wewe na kiherehere yako unamshow, mom ile KICC lazima nifike nipige picha. Wacha niende Nairobi ni hustle… Wengi walinitangulia na wakafaulu. Haiya mtoto yangu all the best.

Unafika Nairobi unakuwa hosted na ule Uncle yako mwenye ukuja ocha once in a while akijisifu vile he has made it in life pale Nairobi. Ukifika Nairobi ndio reality/truth sets in. Kumbe ule uncle yako anaishi pale paipu banae.

Unatandikiwa mattress hapo kwa floor ati hio ndio itakua Place yako ya kulala. Kila asubuhi uncle anakuwacha keja as he goes kwa mhindi. Anakuwacha na umboch duties pale kejani paipu.

Kidogo uncle ashabonga na mdosi wake Patel and asha organise job for u. After one month uncle anasema uhame… Hauendi mbali… Unapata keja pale pale paipu.

One Sunday morning ukiwa kwa dirisha ya keja yako looking outside while in deep thoughts flash backs hit u. Unakumbuka the fresh air back in gishagi, the free space… Una angalia nje unaona matope na stench na congestion … Unaingiwa na huzuni unafungua dirisha unajitupa from the 10th floor unakufa.
[ATTACH=full]203150[/ATTACH]

Paipu is the devil’s hovel. Concrete favela

Boss Ile fresh supply ya ikus yenye hutoka paipu wacha tu!

:D:D:D:D:D

@vuja de come kiasi.

Hapa naona @vunja deki akimalizwa kisiasa

Huyu msee hunibamba:D:D

That supply negates everything else. No wonder @vuja de (ek) anavuja deek every day and twice on Sunday. Hawes hama Paipu

Mukamba muyinga @vuja de utajitetea ukiwa pande gani :D:D:D

this is hella filthy

Kibet hivo ndo ulianza maisha Berndora

lazima watu wako na exhauster huku paipu ni birrioneas…ebu @vuja de tupee leads

Hizi living conditions zinatisha.

waaah hiyo place bana

Vile @vuja de (kii) anachukulia thread
[ATTACH=full]203160[/ATTACH]

Damn…I think the county government and the national government have abandoned these people. With a little cleanup and sewage fixing paipu is not a very bad place.

overpopulation ndio will be the end of Nairobi…na hii mentality ya that u have to move to the city to make it in life should stop. Most of people living in paipu are jobless living under the care of relatives who brought them to Nairobi.

True. We should all move to Bendora. Right?

Hehehe. Jirani you are one crazy physcho

How do you choose to live in a place like this.