Imagine this one was a presidential candidate in 2017....See Life

Jeff Kaluyu… Ona vile ameinua hio sahani… Shida tupu bana alafu ako kwa kibandaski ya masufferah niaje.
[ATTACH=full]196867[/ATTACH]
Cheki background wale maboy watatu… Ahem msishagae hao ni from left to right mbukusu one baller mundu mulosi, mwizi wa simu @snapdragon na mjaka deorro.

Hehe kaluyu ni ango ya @uwesmake

:D:D:D

padre tuombee sisi wakosefu

He is in terms with his peasant roots unlike some of us who are in denial

Hio sahani ameinua ndio inaitwa sosa supu… Ni soup ya nyama since hauwezi afford nyake

Yaani kuna msee anajiita @Matako ya Punda ? La haula!!

During the debate alisema “…Those living in the inner cities…” and i was like TF!

Lichoti pia hawezi wachwa nyuma… U can take a mluhya out of luhyaland but u cannot take away the uluyha in him… Notice how the quadrijoint finger inainua hio sembe kama fork lift
[ATTACH=full]196871[/ATTACH]
Ndio ametoka kwa mhindi

Huyo ni sembe ya first au second?

When I was on attachment and most of the time was spent on the road in rural places hizi vibandaski zilikuwa zinaokolea sana. I remember at one point eating a massive chapati that goes for 30 bob in Nairobi for 10 bob na thickness haikuwa inatoshana na cell membrane.

Appetiser… Main sembe yet to be destroyed

Roots you say :smiley:

:D:D:D kuna pia Devil’s Advocate, Jesus Christ, etc. Maajabu

ulitaka tueke majina ya ID hapa ama nini…mboro wewe

It’s not a big deal.
[ATTACH=full]196882[/ATTACH]

Nothing new here. Hii ndio huwa life ya wasee pale Inda. Unapataga jamaa amekuja consultancy na hajalipwa na mhindi so inabidi aingie kibanda ajibonde ama ashinde njaa

yaaaaaani, hii kenya mtu hagwesi jienjoy (read: kulla’) kwa amani jamaneni…[SIZE=1]how and when does my eating habits / joints becomes your business[/SIZE]:slight_smile:
:D:D:D

:D:D kuwa mpole boss

Ati haumjui @Matako ya Punda … Ndiye huyu hapa…[ATTACH=full]196883[/ATTACH]