Ilishawahi kukufika hali kama hii

Wazeee wetu waliona mbali sanaa,ndipo wakaibuka na ule msemo siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Maisha yanachangamoto nyingi sana aisee,hebu fikiria jirani yako anakaa nyumba anayo lipa kodi ya milioni 7 kwa mwaka.halafu wewe una ka genge kako unaza mbonga mboga.halafu na anakuja kukopa kwako kila mara na ulipaji wake ni hadi vita.

Hahah!