Kuna watu bado wanatetea jiwe kwa upuuzi linaloufanya kupitia Tcra, sasa ili twende sawa ni hizo IG, W, na FB kupigwa pin ili twende mwendo wa VPN
Na huko watakuja tu si wanalipwa kwa kusifia
Lumumba bhana. We acha tuu. Full kusifiana ushenzi.
Nilitaka nikupinge ila naona umefikiria sana.
Ikifungwa hiyo mitandao utaona lumumba watakavyojaa humu.
Hahah!! Kazi kweli
Hawa jamaa laana inawatafuna na bado mbele ya kiti cha enzi Wanayakujibu. Haiwezekani wewe ushike Biblia au Quran mbele ya waamini ukaapa afu baadae unakiuka kiapo!
naunga mkono
Mimi nakuunga mkono wewe
ha
haha nashukuru kwa kuniunga