huwa kwa pool table, ile ya green, naeza pata wapi hii nairobi?? Ya kubuy rolls ivi
Kariobangi mahali pool table zote hutengenezwa.
3 Likes
vile mbuzimrefu amesema
1 Like
Hivo hivo koroboi.
Maswali za watu wa turkana na nikama tuko 1920 apana tambua. Niaje @uwesmake? Ulifanya nicheke jamma kuuliza sijui trm ni wapy telegram. :D:D
hata mi nataka kujua wife material inapatikana wapi Na mita moja Ni ngapi
4 Likes
Niko serious btw, sasa customers wakiuliza si inabidi nitafute
:D:D wife material