Nahisi kwa kuwa tuko ukimbizini basi wengi wenye ID zaidi ya moja mmeamua kuja na zile ID muhimu tu!
Au mmekuja nazo zote? Halafu wale mliobadili majina mungeweka hata zili a.k.a zenu kutoka JF ili
tutambuane KJF zaidi.
Kule JF nilikuwa na ID mbili,yenye jina km hili na nyingine ya kiprofeshino kidogo, zote zilikuwa motoo.
Sema kwakua hapa nimekuja kujisitiri, nimeona nitumiee hii
hatutaki mazoea
Mazoea yapi tena?
Kuna bwege kapita na I’d yangu ya jf yumo humu ndani Ila hayupo active nkimkamata namnyonya kamasi
Ha ha ha ha Ndio Siku si nyingi JF itarudi
Nimekuja nayo
kama kawa google Manager
Mimi nimebadili… Wife alikuwa ashaijua ya Kule udukuzi ukawa mwingi
@mwanga lutila
@Mwanga-Lutila
@Mwanga_Lutila
I’d ya kwanza nilijiunga humu 2015 majuzi naifungua password inagoma.
Hiyo ya pili ndio walioikubali.
Hiyo ya tatu nilikosea emaili.
Nilihisi lazima watu waje na zile ID maarufu wajifanye ndo wao… tutawajua kwa post zao!
nzovwe1…The Prophet…Dundo_Boy…FirstP
unataka ID’s toka JF mtoa mada? hizo hapo, relax
Nimekuja nazo
ha hahaa
Poleni mlioibiwa ID zenu
Nalog off
Jf ulikua unaitwaje mkuu?
Ni rahisi kuwa na id ya mtu lakini sio kuwa kama yeye.
Kuna Nyani Ngabu alifungua id nyingine ila walimstukia tu kuwa huyu Nyani Ngabu.
Kiranga alishawahi kushtukiwa kuwa yeye ndio mwenye id ya Al-watan na hajawahi pinga hadi leo.
Uandishi unamtambulisha mtu.