Iko Swali

Vile dollar :moneybag::dollar: imeshuka na Mukomeno alikuwa na bio ya kuongeza fare ya :steam_locomotive: Na express way, mbona hajaishukisa? Ama hio difference ndio ya macho?

Usiongee bana askie. Ataongeza tena by a multiple of 7.