Ikitokea baba mkwe amekutongoza utamwambia mume wako?

Bwana we acha tu

Weweeeee unakula buyu yaani unampa?

Kumbuka unasema akinisumbua sana. Akikusumbua kidogo?

Hapo kuna viswali, sasa alimpa namba za nini??

Ukiona baba mweke anapata ujasiri wa kumtongoza mkwe wake, chunguza sana kisababishi ni huyo mwanamke mwenyewe…

Cc: @Mahondaw

akinisumbua kidogo sisemi, ni kawaida ila mwanaume akinisumbua sana nasema

Nina Mashaka na wewe, inaonesha kitumbua kukitoa ni dakika

sawa mkuu

Unasemaje au vipi?

nimechagua kunyamaza mkuu sijazoea ligi

Huo ndio ukubwa Sakayo mambo mengine malizaga mwenyewe

Mbona nasikia kuna makabila fulani Ba Mkwe lazima aonje anachofaidi mwanae, hujawahi kusikia hilo Sky?

Kuna vitu vya kumwambia mwanaume wako sio hayo bwana!

Tena mwanume wako akiwa smart kichwani ukiwa unamwambia mambo hizo ujue unamkera, anakuamini na anajua hizo kesi unazimaliza huko huko kwa mbinu zako

Hahha kwa kweli ukishakua mwanamke kutongozwa huwezi kwepa

hahaaa huku uswazi kwetu kuna demu alimkuta bamkwe anapiga nyeto na picha yake bafuni, mkono mmoja kashka picha mwingne koki asianguke mana alikua kalegea kinyama

hakika beib…haya nambie leo umepokea wangapi huko pm

Hahahah hakuna hata mmoja hunie