kama kuna private investor anataka kufanya biashara ya stadium, anunue shamba kutoka kwa private kenyans, ajenge stadium yake hapo, akuwe anakodishia watu afanye biashara yake hapo.
Murkomen kama alifurushwa kwa deal ya Adani before apate share yake, akubali io ishafanyika.
Stadium zenye ziko za public waachane nazo zikiwa vile ziko
sijai support Arror siku ata moja. Lakini sababu nilijua tabia za wakenya, nilikuwa 100% sure yeye ndo atakuwa president. kusema ii ama ile ndio itafanyika, haimaanishi unapendekeza ifanyike.
hadi wakenya wabadilishe tabia zao, Arror ataendelea kutumia wakenya vile anataka.