App gani ndio inaweza download follow-up pics on IG?
si unajua mtu huu ‘copy link’ alafu ndio picha i download, but it appears you can only download the first pic only, juu kama ameweka picha zifwatane hizo zingine huwezi download, it only downloads the first one hata kama ume scroll kwa hizo zingine naku copy link.