If you didnt know, now you know

Naturalized immigrants are the worst no show during voting. Worse than nyeuthi… but every choices have consequences.
[ATTACH=full]239819[/ATTACH]

Nilikuambia zamani urudi kwenu Kenya kama U.S. imekushinda, ukasema umeongeleshwa vibaya.

Why complain about another country and yet uko na kwenu?

Simukae tu kwenu kuzuri bila kusumbuliwa aki

U.S ni kwa wajanjes. It is you VS the system. Like Chris Rock said in his 2008 comedy special when describing his expensive house, " … that’s why I keep a bag packed right by the door, just in case the white people that really own the place show up one day."

There are no guarantees in that country, ni ukae na ujanja.

Huyu @Bottoms nilimwambia kitambo asipoteze time kupost hapa. Kama anapenda US sanaaa aende atafute forum za huko na akuwe anapost huko. Otherwise if he wants to associate with Kenya like he desperately does, arudi tu nyumbani. Huko he is just a lonely guy with big blue balls.

Lakini Atlanta ni kunoma, sasa mnataka kusema Matiangi aliandikiwa hivi pia yeye wakati alikuwa huko?

That is nothing. Watu wazozanie kwao, pana tembelea nyumba imejengwa na wenyewe halafu unapiga camp huko. Squatter. Same thing your people are doing to Somalis.