kondooo ya Liverfool tulia, Manu ya @kush yule mnono itawachangamkia kama umbwaaaa :D:D:D:D :D:D:D:D :D:D:D:D
Niko na machungu sana leo hapana tajataja mimi ovyoovyo
Liverfool mumefinywa makende na Crystal palace
Apa ndo Ten Haga ataangushia hasira yake yote … Liverfool wagojee kunyukwa 3:0 kama ni less