Check out @YoufeckingIdiot’s Tweet: https://twitter.com/YoufeckingIdiot/status/662225435024052225?s=09
Screenshot will suffice…
Hii game ya westham v liverpool naona ikienda mapena
Sure, 123! Let me try.
Wah! hata nlikuwa nshaisahau. Nimekwama huku kwa game ya Borrusia. Wanacheza venye walicheza last time? Wacha niicheki
1-1 buda
Sasa hata nataka waende extra time wamalizane energy kabisa.
Hii ni mapena
Sioni ikifika mapena. Hizi injuries westham wanaokota watabaki mtu 10 bila red. But pia moses na carrol wanaeza fanya majambo
Tuko extra time akuna team ita risk kitu. Naona mapena
Na venye westham imeanza na mioto… Pena unaona nani wakitoboa?
Sasa wewe ni elder na unaaza kuweka link za twirra? @admin huyu jamaa akue nv.
Liverpool juu wale maplayer wako apo
Benteke
Sturridge
Origi
Milner
Kwanza huyo Benteke anakaa kuhata. Pena inaenda na Westham
Hiyo…
Benteke atafunga pena. Mtu wa kukinda ni sturridge juu amekuwa injury for sm time
Waaaaa westham wamefunga dakika ya mwisho
Kifo kimewapata kwa gate…Big big moment for Liverpool to rescue…hehehe
Mignolet ni mtu ovyo
Kuna msee pia hakusaidia Mognolet by not jumping…though amekuwa ovyo of late:D:D