Kama hauna shugli town then its best to stay yr As$ home. Its a weekday…time 10am. u expect every one to be in there office(s) right? But who are these idlers we see watching street entertainers…hawa ni idlers…kimtu kiliamuka asubuhi na mapema na ni joblessnessy kinakuja tao kuwa idle…kalisha rassa mtaani i say…sikuleta jam town.
[ATTACH=full]22764[/ATTACH]
Kua mpole, wanafanya kazi ya kutafuta kazi!
hii ni kufanya ama kutafuta kazi…watchin street comedians
Naskia wanaenda statehouse lakini sioni wakipita Serena watu lazima wakule teargas na marungu 1,2,3…
Kukaa mtaani unaeza pigwa na bibi so afadhali uranderande tao.
usioe tafadhali
Na wale hisimama Amasaduer na Archives saa kumi na mbili asubuhi?
Si lea watu wanabonga most?
Not all of us wanaeza get hiyo opportunity ya 8-5
I am always in town at 5.30 am and others have already converged at Tom Mboya statue
Street entertainers si wabaya I wanted to drop some cash for them only to be told we don’t need your cash keep it.
Those are political analysts.
They ask folks back home to send them dry maize and dried omena. They live in rent free hovels in the slums. All they do is politic day in day out, attend political rallies and get hired by politicians for any dirty job.
Nakubaliana na Jirani. If I was asked, the PASS system should be re-introduced. Hii ni ujinga…
mimi kitu hunishangaza ni watu hukua hapo archives around 5.30-7.00am kama wame surround some guys wenye sijui hukua wanasema nini na watu wanskiza hio mapema yote
jay hujawai kanyanga na rim kwa miguu zote, its much better to be in town ukibangaiza than sleeping kwa keja building and demolishing castles in the air. it removes the feeling of hopelesness one feels and who knows you might just land on a gd deal or the job opening might mature.
Freedoms!!!
They are Kenyans.
If you do not have a solution for them…just let them be!
Hapa ni Germany? I thought ujoblessnessy hakuna sana huko majuu. Ama uko Berlin hapa D4?
We ndio umewalipia fare ya kukam Tao NYANGAU
I mean hakuna bibi anaeza vumilia bwanake mwenye kazi yake ni kuketi kitako kwa nyumba kila siku ati hana kazi.
So kwenda tao anajua atleast unasaka kazi.
They don’t shout that they have a problem, so maybe wako vacation, enjoying the city under the sun.
Reminds me of a comedian called Tony Kijana