so phone yangu imepoteza icons ya applications, like my camera icon imepotea kwa home screen. folder ilikuwa na apps ka Gmail, YouTube, app store pia imepotea. any help restoring them?
sijadelete, kitu ka camera ukijaribu kudelete haiwezi. so am wondering how imepotea. ukijaribu kudelete non empty folder pia itakataa. again phone iko na lock screen
You have added two new home screens. Just scroll (swipe) to the left and you will find them in one of the screens. It is these new screens that are blank.
Hehehe enyewe mafala za ocha kwanza interior kwenye hakuna stima (read @Wepukhulu ) don’t deserve to own a smart phone. Hii angepeleka kwa phone repair na angedanganywa ni software problem ati kuja after 2hrs. Akirudi anapata phone iko sawa…ati pesa ngapi boss? Hio juu wewe ni customer leta 2000/-
unajua you can help without including your ego? najua I have multiple screens. sa ka ingekuwa imeenda kwa ingine why would I ask for help badala ya kuzirudisha? sio kila mtu ni fala vile unadhani
haya ndio hizo remaining screens, nionyeshe kaa unaona camera, gmail, youtube, playstore icons[ATTACH=full]68906[/ATTACH] [ATTACH=full]68907[/ATTACH] [ATTACH=full]68908[/ATTACH]
Nani si you tap on your app launcher go to the apps drawer. Long press an app icon and it will give you options of returning it to the home screen. No so freaking hard.
…
…
Otherwise sisi huwa hatutumii stock launcher. Go to playstore download Nova Launcher or Action Launcher 3. These two app launchers have way better customisation options. This is the beauty of Android. Wacha kukufa na stock launcher ni kama unatumia iPhone