I want to buy a Car; advice needed

Wadau.

After kumaliza mjeii. Sasa nimeamua nibuy kadinga kakunitoa hapo mashinani hadi kwa main road.

A friend amenioffer vitz 2007 new model na 400k.

I am considering buying a RVR for 315k

Na I really envy Subaru Impreza.

Kindly advice kwa wale wako na magari

Nunua pikipiki. Unawachia msee hapo main road kama bodaboda.

It will provide the needed transport plus the side hustle.

@introvert ataunda gari from scratch for 120k. Nunua materials pekee [SIZE=1]na lunch [/SIZE]

which year?

@admin ,@Deorro @Mundu Mulosi move this to motoring section then tutasaidia yeye

Wachana na mutrubishi, atakusumbua sana.

kwanza hizo RVR first and second generation

KAQ

Year of manufacture

Uko na miaka ngapi so that I recommend the right car for you

Hii imekuwa mwaka aje? :confused::confused::confused::confused:

he he he huyu sijui utumie diagrams ndio ashike…

Thate

Iko kwa olx thus hawajaweka mwaka.

Fuata roho yako , buy what makes you happy and not what other have.If you insist nunua Honda Fit GD1

Nunua Fielder bwana.Ongezea pesa nunua hiyo gari,ni poa ya kuingia mashinani

first off, forget the RVR. most likely ni GDI and if KAQ imechokorwa kama cooma za SJ.
if you navigate muddy terrain ili utokee kwa barabara, forget the vitz.
get a 4WD (AWD) oldschool impreza 1600 or 1800 cc. GF (hatch) or GC (sedan) for 300-350. hata kama ni numberplate mzee just have a sub mech look at it. reliable and tough. pia manual(recommended) 5sp ziko kama wewe si mtu lazymatic

asanteni maadmin.

leave the rvr alone. buy a chicken and cook it.

you seem to want a car that is reliable yet sizeable yet. get the fozy version 1.

Buy an NZE…I have one…never regretted. Inaokoleanga sometimes…very fuel efficient too.

110 toyota