Hey talkers
Any leads to a genuine piece of land? Preferably Katani Area.
Si utembee huko ama unaogopa?
uko na hela ngapi?
300k
pigia fanaka, they have some pieces uko
Whatever you do, don’t show the urgency to the owner
Na hii Bei, sijui ka’ utapata Katani.
Katani shopping centre 1/8th is about 1m
Wewe na hiyo ng’ombe @Otiso2 anakamua hamna tofauti.