I told u Watu wa MKZ hawananga akili

 Ona huyu sasa. Some kamiti mfungwa or a Nigerian conman opens a Facebook account masquerading as Akothe. Tells wajinga she (he) can hook up jobs for them. Asks for a fee… Mjinga ya mtu anaenda kukopa shylock 10gees anapea “Akothe”. Pesa ikiingia anakulishwa block. When will pple learn.
[ATTACH=full]204193[/ATTACH]
I swear ningekuwa mtu msoto na roho mbaya watu kama hawa ningefyeka kama nonsense. Sitting ducks banaa.

:D:Dyenyewe watu wana unugu mwingi…

Ati Akothee anakutafutia job then asks for a down payment na wewe unapeana

Such people should be whipped throughly pale uhuru park mpaka io ujinga iwatoke.

Read the part where she replies “your reply meant so much to me. Thanks for again” thinking ni akothee anaambia hivo LMAO

I told you guyz of another scam. The guy, seated from home, would hack your online life. Alafu anakupigia akijifanya CIA. Anakwambia ati umepewa kazi ya kuiba bank as part of a rest. Hiyo pesa ukiiba unapeleka pahali flani. Kisha wewe ungoje salary ya 20K dollars per month. Yani ata unaeza iba 50K lakini juu uko job unampelekea tu

@introvert hii MKZ inakuwanga ni sembe au nini ?

Kuna watu who are not well informed like you, so usidharau mtu kwa jambo alilofanya.

Niaj

Niaje unko, kuja nikunulie chips na guarana mkiwa na mshienzi @sludgist

Akothee should sue her to the last penny.Not all people are supposed to near internet

I understand Akothe had warned pple about this scammer pretending to be her.

Inamaanisha Mbuthia Kwenda Zimbabwe.
Happy Birthday Quadrey.

[ATTACH=full]204199[/ATTACH]

ii kenya ukilia akuna pesa jua wwe ndio uko na shida

:D:D

Ndio maana mkeo anakufinya hizo bolingo juu ya ushienz

Unaenda mbali yet on ktalk we have our own @Gerald Achieng Achieng falling for Teamtalk

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/teamtalk.90861/

You are too fucking slow

So Gerald = Teamtalk?

Nairobi… Nairobi!