2015-2016 nilipata fursa ya kuishi Dar, and i must say kuwa Dar nilikula bata kweli.
- Mwanzo, niliweza kuishi Sinza. Sinza nilipapenda kwa sababu ya night life yake, bar zilikuwa open hadi late hours. Nilienjoy sana mambo ya chips mayai, na chips kuku. Huku kenya, hivyo vyakula sio popular sana, maanake, wanaume huku hupenda kula ugali. Chips huwa ni chakula cha tule tudem twa college .
Maasai club na vichochora vingi sana niliweza kujionea.
I also had mad fun visiting clubs in Oyster Bay, Masaki and Mikocheni. It was mad mad fun. I also had the opportunity to party in town, High Spirits, Samaki Samaki and the likes.
Nilipenda Kinondoni kwa sababu ilikuwa karibu na town, wakati wa traffic jam, jioni ningetembea tu hadi nilipokuwa nikiiishi. Nilifanya kazi maeneo ya Benjamin Mkapa Towers NSSF hapo Posta.
I enjoyed going to the south beach, lile ni bonge la hoteli aisee…mziki tu na kudensi kwenye swimming pool. Pia niliweza kwenda north coast, akina Mbezi Beach na Jangwani, Kunduchi. It was all maad maaad fun.
siku moja nilisafiri hadi Baga Moyo. Nilienda ijumaa jioni jioni hivi. Nikafika kule saa kumi. Nikatembea kidogo pale beach nkazunguka kidogo kisha jioni nikapelekwa na rafiki yangu Baikoko night kule uswazi. Baada ya mida mida nilijishindia mdada mmoja mhaya. Hiyo usiku nilienjoy kweli, very nice moments.
Valnetines, nilipanda basi na kwenda hadi Tanga. Hiyo safari nilienjoy kiukweli. I had mad fun for two days, then nikarudi.
Despite having fun, yapo mambo mawili matatu sikufurahia nikiwa Dar:
- Poor and expensive houses. Aisee, nyumba za Uswazi unaambiwa kodi ni lakini tatu kwa mwezi, ilhali nyumba zenyewe mbovu sana.
Nilibahatika kupata apartment nzuri kinondoni ya kodi ya Tshs. 270, 000 kwa mwezi. - Wasichana wabongo kupenda hela sana, yani ukimpa mdada mbongo hela, jua kuwa mzigo utakagua bila shida.
- Dala Dala shida sana, haswa hapo Makumbusho.
Otherwise, i really enjoyed my stay in Dar. Awesome place, awesome lovely people.