The current one is not working for me
1 Like
hehe
Paka mjinga sana
Hio ni paka gani?
nipe order nikuletee paka ya Mombasa
1 Like
Paka wa mombasa anaweza kuja na mazingaombweo_O
2 Likes
:D:D:D:D:D
hehe kwanza acrobatics zenye hatafanya, kubweka na kulia ka mtoi hata hautahitaji mbwa tena kwa nyumba.
Umempatia H1N1 virus? @The_Virus
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Tom and Jerry
:D:D:D…I think cats are slowly evolving, wamekuwa wa maziwa tu
Wacha kutusumbua,chukua ile paka iko kwa avator ya mathais inatembea na maringo.
:D:D:D:D:eek:… Cat. Exe failed!!!
He he he he he he! Paka kama binti!
hio paka ni lightskin sana…haiko serious na kazi