Jf imetufanya tupendane kama ndugu japo sometimes tunakwaruzana…niliwamiss sana aiseee
kabisa chief, kukwaruzana ni moja ya sifa ya viumbe hai…nilikua nawaza ile hali ya hisia za mchanganyiko nitazipata wapi tena, atleast tumepata MAKUTANO JUNCTION.
Aiseehhh!!!
we miss you moreeeee
We miss you tooooo
msiende mbali tena plz
hatuendi jamani kwani bado tunakupendaaa
Wakati si milele… Japo hauna rivasi but one day JF willshine once again
nawapenda na mm
Amen to that chief
is that you Mshana Jr?
Hahaaaa. Siku zikageuka kama mwezi lol.
kabisa…nilikua nimeanza kuhisi kujifunza maisha bila ya JF
Tuko pamoja usijali
Nalog off
sawa
Soon itazoeleka kama original yenyewe…
Though inasemekana itarudi soon…
Kukwaruzana ni mambo ya kawaida,baadaye mnapatana na mambo yanaenda,uliwahi kudhani siku moja Trump na Kim wangeshikana mikono au kukaa meza moja…?
Yes sir its me Jr™
Cc: Mahandow
Tuko pamoja sana…