I just love friday evenings

Na niko na platinum cards mbili unaweza kuja na all your friends.

Lazima kuwa na stronghold place ingine

1 Like

Kwani anaenda matanga ?

3 Likes

@Preety tuekee rear kidogo…tugurumishe bajajaj polepole hapa nyumbani.mwezi iko pabaya saidi

6 Likes

jimmy choo hio ndio anataka tuone

3 Likes

Aki wacha tu nitumie hizo platinum cards pekee yangu…we can go shopping! Mega ni 24 hrs

Moet ni gani thou…

1 Like

:D:D:D:D

1 Like

Okiya akingoja Female P akuje date
[ATTACH=full]53703[/ATTACH]

19 Likes

Toa fiatu chapa picha your barefeet post hapa priss.

Swafiii sana, tukutane inbox

Moet & Chandon, very expensive Champaign, bottle goes for between 17k-to 35k depending on the year

1 Like

@Okiya akienda bank kuomba advance, in preparation for the date

[ATTACH=full]53706[/ATTACH]

12 Likes

Im impressed by the way u captured it. The photo tells exactly the story of a friday afternoon cocktail time.
It looks classy and the colours are just perfect for this scene.

Or it was a lucky shot or ur good at photography. Either way, nice picture!

:D:D:D:D

hii na ile picha ya manicure/pedicure ,ukiongeza tu picha ya ass na nywele ,duthi leo itawaka moto

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Itabidi nipunguze ulevi, how did I miss this… :D:D:D:D

ha ha ha shenzi kabisaa