Twende CANAAN Na @BonfireSafaris as we follow the footsteps of Jesus for 10 days for Ksh 159,999/-with Flights,accommodation & visa included https://t.co/0pbpEKi14S
Lakini si ile bonoko ya babuon.
Hakuna changaa, rent utalipa vile mfuko yako inaweza na utaambiwa siku ngani unaweza finyana kwako. Pia utabidi ujuwe kuomba, hii maneno ya uchawi ikome.
Hii yako inabore!
Kwenda Cannan ni kumwaga damu na kubomoa manyumba, na kunyakua mali za watu, just like Joshua did with the Israelites to the Canaanite tribes!