I guess we have to be open minded

1 Like

Hio kushare costs huwa haiwezi kuwa 50/ 50. Wewe jua tu haitawai kuwa. Pengine umuambie unatake care of everything lakini vitu kama mboch na chakula hutaki kujua pesa zao zinatoka wapi. Hapo mtaskizana kirahisi.

7 Likes

wanakubali ndio usakatae kuishi nayeye.Once inside ana anza kutoa true colors.Wangu we started that way.I sort everything except groceries and kitchen.Nalipa hadi mboch.Na buy proteins na unga ya ugali and rice for the whole month pplus the consumables eg tissue washing powder etc.Yeyey kazi yake ni ku buy mbogatomatoes onions etc.My fren,sai hatoi hata bob.Tumekosana we are sleeping in separate bedrooms.Hii gender usibembeleze.

8 Likes

Pole Senior. You started as a beta male then reformed to an alpha.

Monogamy marriages has alot of issues because they are sure you don’t have any legal alternative. Polygamy set up haina hizi issues.

2 Likes

Nishaambia kunguru yangu ya Mombasa ahamie Nairobi ntambaia nyumba amesema anakuja weekend tu discuss hio maneno will see how it goes

6 Likes

Pole. Been operating like that for over a decade now and I cannot complain.

2 Likes

kumbe tuko wengi.Mboch told me ati she was expecting me to go and get her from the bedroom ndio arudi.Nikalenga coz atleast nikiwa solo i can do noisy shit without imagining that am interfering with someones sleep eg twitter spaces ma youtube videos teams meetings,kuuza vitu amazon hadi huko ma 2am.Kama anangoja nimuendee atangoja maybe six months hivi.

2 Likes

Ni yule alikupiga?

1 Like

you mean its this serious, na vile mimi hukuwa nimekutambua as the ENIGMA mwenyewe.

separate bedrooms you mean?

:point_down:t5: :point_down:t5: :point_down:t5:

1 Like

Napesa ana peleka wapi

quote=“Agwambo, post:3, topic:457455”]
…i nayeye.Once inside ana anza kutoa true colors.Wangu we started that way.I sort everything except groceries and kitchen.Nalipa hadi mboch.Na buy proteins na unga ya ugali and rice for the whole month pplus the consumables eg tissue washing powder etc.Yeyey kazi yake ni ku buy mbogatomatoes onions etc.My fren,sai hatoi hata bob.Tumekosana we are sleeping in separate bedrooms.Hii gender usibembeleze.
[/quote]

Ghatee, why don’t you walk away, uone ville itakua.

quote=“Stick-Up_Kid, post:6, topic:457455”]
…rt everything except groceries and kitchen.Nalipa hadi mboch.Na buy proteins na unga ya ugali and rice for the whole month pplus the consumables eg tissue washing powder etc.Yeyey kazi yake ni ku buy mbogatomatoes onions etc.My fren,sai hatoi hata bob.Tumekosana we are sleeping in separate bedrooms.Hii gender usibembeleze.

Pole. Been operating like that for over a decade now and I cannot complain.
[/quote]

Napesa ana peleka wapi
[/quote]

Salon.

[/quote]

Kinalipia bro wake mkubwa rent na kumbaia food na upkeep hapa kanairo the kast 4 years.The same jobless bro who has his nose real deep in our famo bizz.nakutumia babake(which is ok).nilimshow irreducable minimums zangu ni hizo mbili.otherwise kila mtu atembeze.mtoto ntalea.

3 Likes

Shaking-his-Head (2022_01_12 09_34_18 UTC)

Usiwai lipa more than 150 kama haujakula mkia

[quote=“Stick-Up_Kid, post:6, topic:457455”]
…rt everything except groceries and kitchen.Nalipa hadi mboch.Na buy proteins na unga ya ugali and rice for the whole month pplus the consumables eg tissue washing powder etc.Yeyey kazi yake ni ku buy mbogatomatoes onions etc.My fren,sai hatoi hata bob.Tumekosana we are sleeping in separate bedrooms.Hii gender usibembeleze.

Pole. Been operating like that for over a decade now and I cannot complain.
wacha kinichekesha mwanakijiji bibi akilala in a different room for a month ahame ama naleta mwingine am so good at letting go ata after a month siwezi mpenda tena ata akirudi hii ten years mnaishiji?

Mimi siko kwa hio predicament. Mimi, as I have pointed out hapo juu, naoperate as my first contribution to the topic suggests.

1 Like