"I can never open an account with Equity Bank" ako busy akitusumbua pale chochio media

Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Kama uliona Absa ndio inatosha standards zako, tafadhali lipa Kshs. 704 per page bila kusumbua raia. Naeza tupa 9k salo pale kwa Mwangi wa Equity na niziache for a whole year. Nitakatwa tu 240 bob. Na nikitaka kuprintiwa statement nakatwa tu 100 bob per page.

Wewe na kiherehere ya ku-set standards ulipeleka kinyambis Absa, ukapewa form ukaambiwa “sign here…here…and here.” Kwanza hio siku ukifungua account ulisema vile huko hakuna vumbi, matope na harufu za peasants. Sasa unatusumbua kwa nini? Convenience comes at a cost…mushienzi.
[ATTACH=full]451868[/ATTACH]

Umesahau kuongeza besha fari fari after 9k salo.

You two need to get a page

Kwani equity hawana email PDF statement ?

bank zote huwa zimedisclose charges za kila kitu kwa website zao, lakini wakenya hawajali kusoma.

Statements are free in most banks including the fancy ones. The mistake people do is asking the bank to print for you. What you need to do is print rhe statements zenye unatumiwa monthly upeleke hapo bank huwambie waweke stamp… that is free. Kama hutumiwi statements kwa email and don’t have a free online banking account then you need to get that setup or move to a new bank.

I will never go back to equity bank. Tulikosana Ile siku a peasant teller wanted me to explain to him why somebody sent me 50k… karibu nichape yeye Kofi… how can you ask me such a stupid question and with an attitude

Absa doesn’t charge anything, you print the fucking pages, they will sign for free! Hii 7k ni ya bank gani?

They have it and its free, they send monthly statements as well.

Huyu hakuwa ame-setup option ya kutumiwa statement kwa email, akajipata anai-need urgently akajipeleka banking hall ku-print. Ndio akalijua jiji.

absa ni wezi