I am sure boiz alikua anatafuta malaya Latema Road hio masaa? What happened? RIP!

Niliskia na maskii yako ama ya babako? Kwani ngara ni size ya kijiji yenu

2 Likes

Anywhere east of Moi Avenue, I am not walking past 7pm. You guys are fucking brave.

1 Like

Cheki uyu msee

1 Like

Especially Ngara karibu na sarakasi Dome no cops just thugs

Just another kienyeji bonobo from ocha. Hizi ni story za watu wa nduthi wa kwenu unatuletea

1 Like

Arsenal fc tumefanya nini jameni

1 Like

That area is dark at night, street lights ni some dim shop security lights, yet kuna places za watu kuhang out. I don’t think hizo flats apo chini ya dome are a safe zone at night, especially the nearness to the river and bridge pass downtown

3 Likes

We malaya usiingize watu wa nduthi kwa upumbavu wako. Kaa huna point jidinye. Usifkirie ni matusi sina. Ka hujui kuongea uende utafte wajinga ka wewe muexchange matusi all day. Funda

2 Likes

Exactly…a no go zone

2 Likes

Ama chokoraa

Mimi ata hizo area nilienda mwsisho around 2013. Sitawahi zikanyaga tena. Area unaskia ‘buda kakitu’ na zinanuka mafi na mkojo siezi kanyaga ata kidogo.

2 Likes

Angetuambia hata kama labda he was stubbed, beaten, kunyongwa… ingetusaidia kiasi. But maybe hata yeye pia hakuwa na the right info hio time. Anyway, ukiwa tao lazima ujue tu mahali unaenda iko aje na masaa pia hu matter. That’s very unfortunate for the young fella.

2 Likes

Wueh last friday ile kachuom iko opposite area za Medina hapo chini wamama husimama, nilienda hapo kuona wamama , then naona polisi wamedania elders fulani hapo walikuwa kudinya malaya ile mbio nilitoka , huyo polisi alinikimbiza hangenipata walai

6 Likes

L

I

ulikuja nairobi lini?

Jana usiku nilikua karibu na Khoja mosque.

1 Like

Budasko anabebea wapi na nduthi skygo nimsupport apate za kula atieno apo sophia joy

It took you that long to muster that up? Ako kilimani akibeba na kawasaki huwezi mu-afford pumbavu wewe

Lakini nini husumbua polisi? Shida yao ni nini na raia inadinya malaya kwa amani?

1 Like