I am looking for Son of Walter Mmari

Habari wakuu.

Mzee wangu aliwahi kusoma Kenya na kwa bahati nzuri alizaa na binti mmoja wa huko.

Kabla ya kifo chake aliniambia nijitahidi kumtafuta huyu ndugu yangu.

Mara ya mwisho niliambia kuwa anapatikana maeneo ya Taveta.
Naomba kama wewe ni mtoto wa Walter Mmari ambae baada ya kutoka Kenya alipata kazi ya Ualimu hapa Tz tafadhali tutafutane.

Asante sana

Taita Taveta is full of broken men who drink all day long. Fanya bidii and find him. FB page ya Taita Taveta can really help. Is there such a thing?

Ni deni imefanya utafute mtu hivi

alikuwa anaitwa e-ssir mmari,

:D:D seriously?

nope,just kidding.I know the guy is serious.

Is there something we can inherit?

Utasaidika zaidi hapa: http://taitataveta.go.ke/contact

Thank you