I AM LOOKING FOR Modafinil

Is Modafinil an OTC?

natafuta hii drug

Kitombe

Nope it is regulated. Asked in 3 pharmacies nikaambiwa lazima nikuje na prescription ya dagitari ndio waniuzie.

Did you finally get it? Ama

Nope. Iyo labda mtu akutolee mlango ya nyuma. If you find one please inform me.

luwere

https://www.youtube.com/watch?v=fojepMfbIs8

Pharmacy will give you anything.

Modafinil is a medication that promotes wakefulness. Modafinil is used to treat excessive sleepiness.

Try this, kitu nachoro :D:D

[ATTACH=full]477117[/ATTACH]

Hizi huniumiza mdomo sana. Ama nitafute juice yake :smiley:

Wacha nikuitie DCI @majizee na @Mjuaji . Wewe unakaa mtu wa mchele.

:D:D

@rexxsimba hii ni dawa ya nini?

Dawa ya kufanya mtu a stay awake, ya kupunguza drowsiness. Unapata OP anasinzia Kila time

Akule jaba basi ama akunywe coffee.

ADHD ama kuna kuna job unataka kukalia bila mchezo ya kushinda uki funguwa tab ya ktalk twitter !

The latter

Hii ni ya ku boost IQ.

YOU BECOME A MAN MACHINE

Hehe, itakupeleka mbio basi

Haha
Do you have ADHD?kwa nini unatransnight?

Wee wacha