Jana niliona kamwizi kwa mbushari yangu. Sasa haka ka waitress kangu Kameongeza weight kwa ratili na ukipima nyama, ratili ina anguka haraka na kanaibia ma customer pesa. Shida ni Kalini promise kanyau na nikona ka dilemma…nikafukuze ama nikule kanyau naniache ma customer waibiwe?