sande sana kaka
We learn daily, they do this in Nairobi! The video is 3 year old, we should be doing better by now I hope
Sisi watu wa dreads tukae pande gani?
Hiyo minoxidil ni taka taka kabisa. Yeah it grows your hair lakini ni manynunyu tu. You get hair in clusters. And bald spots.
Australopithecus Boisei
Mcheka kilema
Msiba wakujitakia
Si mna uchinga wasee
I have a solution…
Jana nilikuwa westlands and I saw these posters…
Give them a call
Nice! yani nikienda huko nitaitwa patient. Wueh
Mimi lazima niende…nimeambiwa nitumie finestride 6 months then nibook flight Turkey end of next year. Naona nitafanya hivo.
Umeamua kurembeka… Leta before and after images. Unaeza turkey waweke roots za wasungu ukipata unakuwa na curled brown hair banae
Ndo inaanza, in 2-3 years ndo itakuwa imeenda. Nataka irudi mahali hiyo line iko
Yangu ni hapo katikati banae…Kuna ka uwanja kana tokea hapo inabidi nanyoa yote jordan
Yako imeenda banae
their main center is in Turkey?
OOOH…
I get it now…
Na wewe doshi ikikataa kuamka vizuri don’t complain
Turkey ndo inajulikana for hair transplant. Hii ya kenya utapata tu ni Turkish mmoja ata hajui kazi vizuri ako huko…it’s cheaper and healthier kuenda Turkey kuifanya.