Huyu nimwambie nini

[ATTACH=full]350366[/ATTACH]

Tulisema, money talks and bullsh!t walks

Wasiku izi ni hivyo, wewe ndio utagharamia kila kitu na hamuishi pamoja. Siku izi we deal with leaches(kupe), ukidate jitayarishe kimfuko na usipo tekeleza iyo vitu unaeza ambiwa humpendi. Lakini bado kuna wale wazuri

why are chicks so entitled namna iyo or is it that from the previous conversation (that has been conveniently left out) you came out as a simp?..na ile siku wanaume tutasema ata sisi we should be treated na material stuff juu tunachokanga kubinja?

I playing with her mind
I know what am doing
Huyu atajua karura ni wapi

good exploitation should be countered with exploitation

A girl cannot just jump to rent. Kuna fare ulishaa mtumia.

Ameona the guy looks rich

Chukua slices kosha uingie deepest corner of karura

Run niggah run!

Throw in your irreducible minimums akikataa Ingia Thika road alafu ukifika Muthaiga , hard left uende Karura.

Hahah ashakubali kugagwa infact she is begging to come over

Lipa rent mwezi moja rarua kama mara 5 within that month save on pesa ya lodging akiuliza next month ingia boni forest.