Huyu nafukuza

This is the second sufuria amechoma kwangu in three weeks. Bachelor nimebaki na sufuria moja sasa.

MGTOW = Freedom. Shes becoming more of a liability than an asset, si eti sijui kupika. Yaani anawacha chakula inaungua akiwa IG.

Thermal below…

[ATTACH=full]395554[/ATTACH]

kama tabia iko sawa kaa na yeye

Wacha kupenda jikoni sana…ghaseer.

Sufuria ndio imefanya ucatch ivo.

Birrionaires hapa wamegonganishiwa their German masheens na ma slay Queens bila kusumbua elders.

Mimi tangu @Freyja anichanue about non stickables na graphite cooking pots life’s been easier

Karibu maisha ya ndoa, utazoea

kwani unaishi maisonette kwenye kitchen iko ground floor na yeye ako IG huko bedroom 2nd storey kwenye harufu ya kuungua haizambai?

nyani kama wewe ya bedshitter sema ulitoka kuomba neiba chumvi ghaseer

Unaosha vyombo na Gunia tafuta utensils scrubber.

Mwanaume ni sufuria mbili, hii watu ndio wanalazimisha kuchukua hii pack[ATTACH=full]395556[/ATTACH]

Tangu utoke naivasha maximum prison hujanunua vyombo zingine

Kijana mdogo, unge-stick tu na hizo sufuria za jua kali ama Kaluworks. Wacha watu wakucheke vile wewe ni mshamba, [SIZE=1]which is true anyway[/SIZE]. Hizo vitu zitakupea cancer haijawahi skika huko kwenu Nyalgunga.

[ATTACH=full]395557[/ATTACH]

https://www.youtube.com/watch?v=9W74aeuqsiU

next time nunua sufuria ‘Non Stick’.
might be dearer but a smart investment.

Mshamba mwenzangu umenyamba pointi.

Unaskia madhe @captain obvious anaongea about cancer we bado unasema non stick

Niliskia kuna yenye inaitwa granite. Haiyo haibreak at high heat. Will get rid of these and get granite

Fukuza yeye huyo ni bonoko Kama bado in three weeks hajanunua zake aweke territory iko sida

:D:D Flash back, had the non stick sufurias that had inner black lining. One day amesugua moja na steel wool eti she thought ni chafu. Hiyo kitu iliniuma sana, kwanza how costly those things are.

:D:D kwetu tunaita steel wire

Mwanaume ni sufuria mbili za juakali

:D:D:D