Huyu msichana apunguze kiherehere sasa

[ATTACH=full]484826[/ATTACH]

Mnamaliza huyu msichana Kweli Kweli. Lakini people should wait until she clarifies.

She has. Amesema sio pesa yenu inaRun hiyo ofisi.

Kama vile aliuza smokie pasua>?

Hata bake alisema he wasn’t the owner of Weston.

Huyu by the time babake clears atakuwa atakuwa anaelekea league ya the daughter of Dos Santos

Mtoto anajituma kweli

Si kiherehere chief. Kwani hutaki afanyie kazi wananchi.

I don’t see what all this fuss is about, even Donald Trumps daughter Ivanka had a prominent position during his presidency and had an office at the White House as one of her fathers main advisors.

[ATTACH=full]484887[/ATTACH]

Umekaaaaaa hivi fuaaaaaaaa kwa choo ukihara kisha ukakuna ukadunga ukanusa uvundo ukakuambia ukuje na muhahe yooooooooooooooooote uko nayo kuleta hizi news? Ghaseer taktaka

Nîtûheane itîo muthee

Muhahe utige