Huyu mbunge akili zimerudi

Saafiii…

Huwajui tu wanasiasa wa kiafrika!!!

Hawakumbuki kama wengine ni binadamu na maamuzi yao yanasababisha maafa na shida kubwa kwenye jamii mpaka yawanapowafika.

Sawa tu; mbuzi wa bwana Heri…